AudioVideo

Audio: Danny Gift Feat. Guardian Angel – Yesu Ni Wangu

Mwimbaji anayeendelea kufanya vizuri katika huduma ya muziki wa Injili nchini Kenya anayejulikana kwa jina la Danny Gift kwa mara nyingine ameachia wimbo wake mpya uitwao kama Yesu Ni Wangu akiwa amemshirikisha mwimbaji maarufu Guardian Angel.

Muziki huu umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Simba Sound Production chini ya mikono ya prodyuza Vicky Pondis.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha Kusikiliza wimbo huu tukiamini kuwa utakubariki, Ameen!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Danny Gift kupitia:
Simu/WhatsApp: +254 702 903 810
Facebook: Danny Gift
Instagram: @dannygiftke
Twittter: @dannygiftke
Youtube: Danny Gift

Advertisements
Previous post

Video | Audio: Daddy Owen Feat. Adanje - Bii

Next post

Audio: Ritha Komba - Sitapita