Connect with us

Audio: Daniel Ja Blessed – Ni wewe Pekee Yako Feat. Sifaeli Mwabuka

Daniel Ja Blessed - Ni wewe Pekee Yako Feat. Sifaeli Mwabuka

Muziki

Audio: Daniel Ja Blessed – Ni wewe Pekee Yako Feat. Sifaeli Mwabuka

Daniel Ja Blessed - Ni wewe Pekee Yako Feat. Sifaeli Mwabuka

Kwa mara nyingine tena kutoka nchini Marekani leo tumekusogezea wimbo mpya uitwao Ni wewe Pekee Yako kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili Daniel Blessed akiwa amemshirikisha mwimbaji nguli Sifaeli Mwabuka.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu mzuri ambao ni hakika kuwa utakubarikiwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Daniel Blessed kupitia:
Simu/WhatsApp: +1 (509) 218-4737
Facebook: Daniel Blessed
Instagram: @danielblessed
Twitter: @danielblessed
Youtube: Daniel Blessed/ GOSPEL BOY

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top