Audio: Daniel Humagi - Tumeshinda - Gospo Media
Connect with us

Audio: Daniel Humagi – Tumeshinda

Audio

Audio: Daniel Humagi – Tumeshinda

Kutoka jijini Mwanza kwa mara ya kwanza leo tunamtambulisha kwako mwimbaji mpya katika huduma ya muziki wa Injili Tanzania anayefahamika kwa jina la Daniel Humagi na huu ni wimbo wake wa kwanza kuachia unaokwenda kwa jina la Tumeshinda.

Muziki huu umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Dohu Records chini ya mikono ya prodyuza Khamisi Kamanda.

“Mungu ni wathamani maishani mwangu yeye aliyenivusha katika shida na dhiki za dunia siwezi kumuacha “Tumeshinda” ni nyimbo ambayo itakupa matumaini na kukuinua kutoka sehemu moja kwenda nyingine kweli Tumeshinda katika yeye atutiaye nguvu.” – alisema Daniel Humagi

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha wimbo huu mzuri ambao ni hakika utakubariki na kukuinua, Amen.

 

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Daniel Humagi kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 752 021 612 au +255 678 408 872
Facebook: Daniel Humagi
Instagram: @danielhumagi
Youtube: Daniel Humagi

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top