Audio: Daniel Blessed - Matendo Yako - Gospo Media
Connect with us

Audio: Daniel Blessed – Matendo Yako

Audio

Audio: Daniel Blessed – Matendo Yako

Kutoka nchini Marekani leo tumekusogezea wimbo mpya uitwao Matendo Yako kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Daniel Blessed.

Wimbo huu unatoka kwenye albamu yake inayokwenda kwa jina la Halleluya ukielezea namna sahihi ya wakristo wanavyotakiwa kuenenda sawa sawa na mapenzi ya Mungu ili waweze kuurithi ufalme wa Mungu kwa matendo yao.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu mzuri ambao ni hakika kuwa utakubarikiwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Daniel Blessed kupitia:
Simu/WhatsApp: +1 (509) 218-4737
Facebook: Daniel Blessed
Instagram: @danielblessed
Twitter: @danielblessed
Youtube: Daniel Blessed/ GOSPEL BOY

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top