Connect with us

Video: Daniel A.M – Urithi Wangu

Daniel A.M - Urithi Wangu

Muziki

Video: Daniel A.M – Urithi Wangu

Daniel A.M - Urithi Wangu

Kutoka jijini Dar es salaam kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 tunamtambulisha kwako mwimbaji na mtayaarishaji wa nyimbo za Injili Daniel A.M na hii ni video yake ya kwanza kuachia iitwayo Urithi Wangu.

Video hii imeongozwa na director Joma (Hanscana brand), Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Sweetchord Africa.

“Urithi wangu ni wimbo ukili wa ushindi utokanao na Upendo wa Mungu pia unaonesha shukurani kwa Mungu kwa Upendo huo ambao ndio urithi wa kila mwanadamu.” – Daniel A.M

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ambayo ni hakika kuwa itakubariki, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Daniel A.M kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 672 811 231
Facebook: Sweetchord Africa
Instagram: @sweetchordafrica
Twitter: @sweetchordafrica
Youtube: SWEETCHORD AFRICA

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

GUARDIAN ANGEL - NI TABIBU_audio

Muziki

AUDIO | GUARDIAN ANGEL – NI TABIBU

By September 22, 2021

TRENDING

To Top