Connect with us

Video | Audio: Daddy Owen – Mungu Yupo

Video

Video | Audio: Daddy Owen – Mungu Yupo

Baada ya kimya cha muda mrefu mwimbaji wa nyimbo za Injili Daddy Owen kutoka jijini Nairobi Kenya ameachia video yake mpya iitwayo Mungu Yupo, video ikiwa imeongozwa na director Mhando Brian kutoka studio za Onfon Productions na muziki ukiwa umetayaarishwa na mikono ya prodyuza Robert Kamanzi (R-Kay).

“Mungu Baba nakuomba Upako wako usiniondokee na rehema na neema yako zidi niongoza mi nisipotee hadi kazi ulionituma nifanye duniani ikamilike, Nirudishe kondoo Kwenye zizi la Mwokozi eeh, Na vipofu waone Viziwi na wasikie na viwete watembee, Na wagonjwa wapone na vipofu waone Viziwi na wasikie na viwete watembee na dunia itambuee” – Daddy Owen

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kutazama video hii na kupakua wimbo huu ambao nina imani kuwa utakubariki na kuufurahia, Jina la Bwana Yesu libarikiwe!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na huduma za mialiko wasiliana na muimbaji Daddy Owen kupitia:
Facebook Page: Daddy Owen
Instagram: @daddyowen

Like us on facebook >> GOSPO MEDIA  Follow us on instagram >> @gospomedia

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

To Top