AudioVideo

Video | Audio: Daddy Owen Feat. Rigan Sarkozi – Wewe ni Mungu

Kutoka mji wa Nairobi kenya, leo tunaitambulisha kwako video mpya kutoka kwa Daddy Owen akiwa amemshirikisha Rigan Sarkozi video ya wimbo huu inaitwa Wewe Ni Mungu ikiwa ni wimbo unaopatikana kwenye album yake mpya inayoitwa Vanity.

Video ya wimbo huu imeongozwa na director Mhando Brian kutoka studio ya ONFON Production na Audio ya wimbo huu ikiwa imetengenezwa ndani ya studio ya Beats and Blessings Music Group chini ya mikono ya producer R Kay kutoka nchini kenya.

gospomedia.com tunakupa nafasi ya kuitazama video ya wimbo huu, kuupakua(kudownload) na kuusikiliza audio ya wimbo huu pia na hakika utabarikiwa sana. Karibu!!

DOWNLOAD

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya huduma wasiliana na mwimbaji Daddy Owen kupitia
Simu/WhatsApp: +254
Facebook: Daddy Owen
Instagram: @daddyowen
YouTube: Daddy Owen Official

Like Page yetu ya facebook >> Gospo Media instagram>> @gospomedia

Advertisements
Previous post

Download Music Video+Audio: Samaria Band-Leta Kwa Bwana

Next post

Download Music Video+Audio: Size 8 Reborn-Pale Pale