Connect with us

Video | Audio: Daddy Owen Feat. Adanje – Bii

Audio

Video | Audio: Daddy Owen Feat. Adanje – Bii

Baada ya kufanya vizuri kupitia wimbo wake wa Donjo aliouachia Mwezi May 2018 mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka nchini Kenya maarufu kama Daddy Owen ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao Bii akiwa amemshirikisha mwimbaji Adanje, Video ikiwa imeongozwa na director Mhando Brian.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii na hakika utabarikiwa, Amen.

Download Audio

Social Media:
Facebook: Daddy Owen
Instagram: @daddyowen
Twittter: @daddyowen
Youtube:  Daddy Owen Official

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top