BurudaniHabari

Comedian Frank Mathew Anakuletea Laugh Again Concert Mei Mosi Ndani ya NIT

Mchekeshaji maarufu Tanzania Frank Mathew Anakualika katika tamasha la Ucheshi la Laugh Again Concert litakalofanyika katika Ukumbi wa chuo cha Usafirishaji (NIT) Mabibo.

Concert hiyo itafanyika siku ya Mei Mosi (01/05/2017) kuanzia saa 10 Jioni na kuendelea itapambwa na wachekeshaji wengi kama vile Mc Lukinga,Coy Mzungu,Mc Willy Pamoja na Princess Glory.

Pia kutakuwa na waimbaji kama vile Beda Andrew,Suleiman Wilson,Dr. Ipyana Kibona,Leeston Kimaro na wengine wengi.Tamasha hili halina Kiingilio.

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

 

SirMbezi

SirMbezi

Aloyce Mbezi also known as SirMbezi So Amazing is a Journalist from Tanzania, Co-founder and Executive Director of GOSPOMEDIA, innovative and a thinker in nature determined to shape Tanzania Gospel Music Industry. Welcome to My World where My passion is my Work.
Contact me on : +255 679 433 323 Email: aloycembezi@gmail.com

Previous post

Witness Mbise Kuzindua Nimegusa Vazi,May 14 CAG Ubungo Maziwa.

Next post

Tazama Video | Sikiliza & Download Music: Lydia Charles - Twakuabudu