Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Audio: Clouds Of Hope – Milele

Audio

Audio: Clouds Of Hope – Milele

Kutoka jijini Arusha kwa mara ya kwanza leo tumekusogezea wimbo mpya uitwao Milele kutoka kwa kundi la Kusifu na kuabudu linalofahamika kwa jina la Clouds Of Hope na huu ni wimbo wao wa kwanza kwa mwaka 2019 unaokwenda kwa jina la Milele, Muziki huu ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Harry GB.

“Forever God deserve to receive our PRAISES, By his name the weaken is STRONG… Official song of Clouds Of Hope…”  – Clouds of Hope

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu ambao kwa hakika utakubariki, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na kundi la Clouds of Hope kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 763 229 714
Instagram: @cloudsofhope_c.o.h
Youtube: Clouds Of Hope Clouds

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 10 ON GOSPOMEDIA

SUBSCRIBE

Enter your email address to subscribe to this blog and receive notifications of new posts by email.

Join 12,309 other subscribers

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top