Chumba Changu: Jitihada za kuwa mkamilifu - Milca Kakete - Gospo Media
Connect with us

Chumba Changu: Jitihada za kuwa mkamilifu – Milca Kakete

Mafundisho

Chumba Changu: Jitihada za kuwa mkamilifu – Milca Kakete

Kutoka nchini kanada mpaka Tanzania tunakuletea mtiririko wa masomo yanayoletwa kwenu na muimbaji wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Milca kakete ambapo kila mara atakuwa anakuja na somo jipya kupitia kipindi chake maalumu kiitwacho Chumba Changu na leo hii kupitia tovuti yako pendwa ya gospomedia.com tumekuwekea somo jipya liitwalo Jitihada za kuwa mkamilifu ambapo kupitia somo hili Milca Kakete amezungungumza mambo kadhaa ambayo kwa hakika ni ya msingi sana kwa ajili yako wewe mwana wa Mungu kusikiliza kwa makini na kupata maarifa mapya juu ya misingi ya kuishi kama mkristo anayemtumikia Mungu katika roho na kweli. Karibu!

Kama hujawahi kuusikia pia wimbo wake mpya gospomedia.com tunakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu mpya wa Nakung’ang’ania rmx kisha mpe sapoti yako kwa kuwashirikisha na wengine kwa kadri uwezavyo ili waweze kubarikiwa kupitia ujumbe wa baraka ulio katika wimbo huu na utakuwa umesaidia kuisambaza Injili mahala pote duniani na hakika Mungu atakubariki sana. Karibu!
 

DOWNLOAD


Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na mwimbaji Milca Kakete kupitia
Simu/WhatsApp: +1(905)3415664
Facebook: Milca Kakete
Instagram: @milcakakete
Twitter: milca kakete
Facebook Page: Milca Kakete Ministry
Email: milcakakete@yahoo.com

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

More in Mafundisho

To Top