Connect with us

Video | Audio: Christopher Mwahangila & Bella D – Umenitoa Mbali

Video

Video | Audio: Christopher Mwahangila & Bella D – Umenitoa Mbali

Ushirikiano mkubwa wa mataifa ya Afrika Mashariki kati ya Kenya, Tanzania na Uganda unazidi kuimarishwa na mambo mbalimbali ikiwemo muziki ambapo leo kwa mara ya kwanza nimekusogezea video ya muziki wa Injili iitwayo “Umenitoa Mbali” ikiwa imefanywa na waimbaji wawili kutoka mataifa mawili tofauti hapa namzumzia Christopher Mwahangila muimbaji mkongwe kutoka Tanzania na mwimbaji Bella D kutoka nchini Kenya. Video hii imeongozwa na Erick Omba kutoka studio za Spotlight na muziki pia ukiwa umetayaarishwa ndani ya studio hizo.

“Umenitoa Mbali” ni wimbo unaokiri uweza na upendo wa Mungu kwa mwanadamu ambaye leo ametambua kuwa mafanikio yake yametokana na wema na Neema ya Mungu pekee, si kwa nguvu zake bali ni kwa Neema itokayo kwa Baba Mungu wetu wa mbinguni.

Hakika hii ni moja kati ya kazi ambayo itakusukuma kuitazama na kusikiliza kila wakati kutokana na ujumbe ulio katika wimbo huu na mpangilio mzuri wa muziki, Karibu ubarikiwe!

Download Audio

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

To Top