Audio

Audio: Christina Shusho – Relax

Mwimbaji mkongwe katika kiwanda cha muziki wa Injili Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla Chistina Shusho kwa mara ya kwanza katika mwaka 2018 ameachia wimbo wake mzuri uitwao Relax.

“Relax” ni wimbo uliobeba ujumbe wa matumaini na nguvu ya imani kwa mtu ambaye amekuwa akisubiri ahadi za Mungu kwa muda mrefu bila majibu, kupitia wimbo huu Christina Shusho anamtia moyo mtu huyu kuwa Mungu atampa mahitaji yake yote haijalishi amesubiri kwa muda mrefu kiasi gani hivyo yampasa atulize nafsi yake na amwachie Mungu ili atende kile kinachostahili kwa ajili ya maisha yake, Relax.

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu ambao nin imani kuwa utakugusa na kukuinua, Ameen.

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na mwimbaji Christina Shusho kupitia
Facebook: Christina Shusho
Instagram: @christinashusho

Like us on facebook >> GOSPO MEDIA  Follow us on instagram >> @gospomedia

 

Advertisements
Previous post

Alichosema mwimbaji Aline Jeremiah alipokutana Alex Joseck Live

Next post

Audio: Rungu La Yesu Feat. Pastor Florian Katunzi-Utakatifu Remix