Connect with us

Audio: Christina Shusho – Muujiza

Audio

Audio: Christina Shusho – Muujiza

Baada ya kufanya vizuri kupitia wimbo wake uitwao Relax, Mwimbaji mkongwe katika kiwanda cha muziki wa Injili Tanzania na Afrika mashariki Chistina Shusho kwa mara nyingne tena ameachia wimbo wake mpya uitwao Muujiza, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Still Alive zilizopo jijini Nairobi Kenya.

Waefeso 3:8 Mimi ni mdogo kuliko watu wote wa Mungu; lakini amenijalia neema yake, ili niwahubirie watu wa mataifa utajiri wake Kristo usiopimika;

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu ambao nina imani kuwa utakugusa na kukuinua, Ameen.

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na mwimbaji Christina Shusho kupitia
Facebook: Christina Shusho
Instagram: @christinashusho

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top