Connect with us

Audio: Christina Shusho Feat. Dreamers Singers – Teta Nao (Remix)

Christina Shusho Feat. Dreamers Singers - Teta Nao (Remix)

Muziki

Audio: Christina Shusho Feat. Dreamers Singers – Teta Nao (Remix)

Christina Shusho Feat. Dreamers Singers - Teta Nao (Remix)

Kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 leo tumekusogezea wimbo mpya unaokwenda kwa jina la Teta Nao Kutoka kwa mkongwe wa nyimbo za Injili Afrika Mashariki na kati Christina Shusho akiwa amewashirikisha Dreamers Singers.

Teta Nao ni marudio (remix) ya wimbo aliowahi kuachia mwaka 2005 kutoka kwenye album yake ya kwanza inayofahamika kwa jina la KITU GANI ikiwa na mkusanyiko wa nyimbo nane.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu na hakika utabarikiwa, Amen.

Social Media:
Facebook: Christina Shusho
Instagram: @christinashusho
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top