Connect with us

Video: Christina Mbilinyi – Kwa Ajili Yako

Christina Mbilinyi - Kwa Ajili Yako

Muziki

Video: Christina Mbilinyi – Kwa Ajili Yako

Christina Mbilinyi - Kwa Ajili Yako

Kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 tunamtambulisha kwako mwimbaji Christina Mbilinyi na hii ni video yake ya kwanza kuachia inayokwenda kwa jina la Kwa ajili Yako.

Kwa Ajili Yako ni wimbo uliobeba ujumbe wenye uamsho wa kiroho kwa watu waliokata tamaa kwa mapito magumu wanayopitia na kuona Mungu hasikii maombi yao lakini kupitia wimbo huu Christina Mbilinyi anatukumbusha kuwa upendo wa Mungu kwetu haubadiliki yeye ndiye ajuaye shida zetu na taabu zetu tumkabidhi yeye naye atafanya njia pasipo na njia.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema itakayokupa tumaini jipya katika maisha yako, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Christina Mbilinyi kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 764 566 960
Facebook: Christina Mbilinyi
Instagram: @christinambilinyi
Youtube: Christina Mbilinyi

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

NAWAPENDA - ZABRON SINGERS

Muziki

VIDEO | NAWAPENDA – ZABRON SINGERS

By October 11, 2021

TRENDING

To Top