Music

Audio: Chi-Gospel – Ebighi Ebi (Everlasting God)

Muimbaji wa kimataifa kutoka nchini Nigeria anayefahamika kwa jina la Chi-Gospel ameachia wimbo wake mpya unaoitwa Ebighi Ebi (Everlasting God) muziki ukiwa umetayaarishwa ndani ya studio za Blue Feathers Inc. chini ya mikono ya prodyuza Kayomusiq.

“Ninamtukuza sana Mungu, na ninapenda kila kitu kinachomhusu Mungu, Hivyo nampa Mungu upendo wangu wote kwakuwa yeye ndiye ambaye alinitoa chini na kuniweka mahali ambapo nipo leo nitamshukuru Mungu milele.” – Alisema muimbaji Chi-Gospel

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu ambao nina hakika utabarikiwa sana!

 

Download Audio

Social Media
Facebook: Chi-Gospel
Instagram: @chi_gospel
Twitter: @iamchigospel

Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

Lads

Lads

Naitwa Ladslaus Milanzi, mwanzilishi na msimamizi wa tovuti hii ya habari za kikristo, nyimbo na video za muziki wa Injili, Asante kwa kutembelea tovuti hii nikiamini kuwa umebarikiwa na kufurahia na vyote ambavyo umevipata kupitia tovuti hii ikiwa ni moja ya chombo kilichobeba kusudi la kuieneza Injili na kuihudumia jamii kupitia habari na burudani. Mungu Ibariki Gospo Media, Mungu Ibariki Tanzania.
Wasiliana nami kupitia simu/whatsApp: +255 755 038 159.

Previous post

Video | Audio: Mike & Deglorious – Jesus

Next post

Video | Audio: Guardian Angel - Swadakta