Connect with us

Audio: Chengelo – Agape Love

Audio

Audio: Chengelo – Agape Love

Kutoka nchini zambia leo nimekusogezea wimbo wa sifa uitwao Agape Love kutoka kwa mwimbaji mpya katika kiwanda cha muziki wa Injili nchini humo anayefahamika kwa jina la Chengelo, muziki ukiwa umetayaarishwa na mikono ya prodyuza Seny P.

Baada ya kuukaa kimya kwa muda wa takribani mwaka mmoja mwimbaji Chengelo kwasasa amekuja na wimbo wake wa kwanza katika mwaka 2018 Agape Love ukiwa ni wimbo unaozungumzia Upendo wa ajabu wa Mungu anaowaonyesha watoto wake bila kujali nyakati au matendo yao.

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu ambao nina imani kuwa utakubariki na upendo wa Mungu ukapate nafasi ya kubadilisha maisha yako, Ameen.

 

Download Audio

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top