Connect with us

Changia

GOSPO MEDIA ni chombo cha habari cha kikristo kilichoanzishwa kwa lengo la kuineza Injili mtandaoni kupitia HABARI ZA KIKRISTO, NENO LA MUNGU, MUZIKI WA INJILI, MAHUBIRI na MAFUNDISHO YA NENO LA MUNGU.

Kama uko Tanzania unaweza kutuma sadaka yako kwa ajili ya kuunga mkono chombo hiki na huduma hii katika namba zifuatazo:

M-PESA: +255 755 038 159
JINA: LADSLAUS MILANZI

TIGO PESA: +255 710 652 005
JINA: LADSLAUS MILANZI

Kama uko nje ya Tanzania na ungependa kutuma Sadaka/mchango wako kwa ajili ya kusapoti chombo hiki, unaweza kutuma mchango wako kwa njia ya Western Union kupitia namba ya Vodacom +255 755 038 159 JINA: LADSLAUS SAIMON MILANZI

Mpendwa Mtu wa Mungu, kazi ya Mungu itawezekana kama wewe na mimi tunaoamini katika Injili ya Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristo tutaiwezesha. Kazi ya kueneza Injili ya Yesu Kristo ina gharama na inahitaji muda mwingi, vifaa, maombi, utaalamu, na rasilimali fedha ili tuweze kuineza Injili duniani kote kwa ufanisi mkubwa.

Biblia inasema:
“Ni askari gani aendaye vitani wakati wowote kwa gharama zake mwenyewe?” (1Kor 9:7).

Basi ungana nasi katika kumtumikia Mungu kwa kuiwezesha kazi hii ya Mungu kwa kuchangia chochote kama ambavyo Roho wa Mungu atavyokugusa na kukuongoza.

MUNGU AKUBARIKI SANA.

To Top