Changia Huduma - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Changia Huduma

Bwana Yesu asifiwe! tunakushukuru kwakuwa umekuwa mfuatiliaji mzuri wa blog ya gospomedia.com,  Tunaamini unaendelea kubarikiwa na mtandao huu pendwa unaoeneza Injili ya Bwana wetu Yesu Kristo duniani kote kupitia habari njema za kikristo na muziki wa Injili.

Kama neno la Mungu linavyosema kutoka katika kitabu cha Zaburi 105:1 Haleluya. Mshukuruni BWANA, liitieni jina lake, Wajulisheni watu matendo yake.

Kwa unyenyekevu mkubwa tunakukaribisha ushiriki nasi katika kuchangia Huduma hii kwa chochote utakachobarikiwa ili tuweze kufanya huduma hii kwa ubora na upana zaidi.

Unaweza kutuma mchango wako kupitia kupitia M-PESA +255 755 038 159, TIGO-PESA +255 658 293 696.

Kama upo nje ya nchi unaweza kuchangia kupitia WESTERN UNION Jina la mpokea fedha ni LADSLAUS SAIMON MILANZI

Kama utahitaji kuchangia kupitia benki namba ya akaunti yetu ya benki tutaiweka hivi karibuni:

Tafadhali: Utakapotoa mchango wako tunaomba utujulishe kwa kutuma ujumbe mfupi kupitia namba zetu za simu.

Tunatanguliza shukrani zetu za dhati kwako mpendwa wetu. Barikiwa.

Advertisements

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top