Habari

Breaking News:Muimbaji wa Gospo,Angel Bernad Avishwa pete ya Uchumba.

Jioni ya jana ilikuwa ni nzuri sana kwa mwimbaji wa Gospo toka Tanzania,Bi.Angel Bernad baada ya kuvikwa pete ya Uchumba na mchumba wake Bw.Godsave Sakafu toka Arusha.Tukio hilo lilifanyika mida ya saa kumi fulani hadi saa moja hivi usiku nyumbani kwa mama mzazi wa Angel bernad,Mbezi Tangi bovu.
Wawili hao wanataraji kufunga ndoa mwezi wa saba,tarehe bado kapuni.
Uongozi wa GospoMuziki unapenda kuwatakia Bi.Angel na Bw.Sakafu safari njema walioiaza ifikie kilele.Amina.

Advertisements
Previous post

Newz: Jeniffa Mgendi ndani ya Album mpya,uzinduzi ni Juni 28.

Next post

Newz:Unawajua waimbaji watakaopamba tamasha la pasaka?hawa hapa.