Audio

BRAND NEW VIDEO(TANZANIA): MILCA KAKETE FEAT ABEDNEGO HANGO – NATAMANI

DVD mbili, “Nakung’ang’ania” na “Nataka kukuabudu” zake Milca Kakete, zitawekewa wakfu tarehe 21/6/2014 pale kwenye kanisa la VCCT Mbezi Beach la Pastor Huruma Nkone, kuanzia saa nane mchana. Karibu sana hakuna kiingilio, na waimbaji wengine watakuwepo, Miriam Lukindo wa Mauki na wengineo.

Advertisements
Previous post

OFFICIAL MUSIC VIDEO : JACKIE MASIGA TEGEMEO LANGU

Next post

GOSPO MUSIC VIDEO(KENYA): GLORIA MULIRO - MAPITO