Habari za MuzikiUncategorized

Unaikumbuka hii: Bony Mwaitege-Utanitambuaje

Shalom, GospoMedia leo inakurudisha nyuma kidogo mpaka mwaka 2011 ambapo Bony Mwaitege aliweza kubarikiwa sana mara baada ya kuachia wimbo huu wa UTANITAMBUAJE ikiwa ni wimbo uliobeba jina la albam hiyo ya UTANITAMBUAJE ikiwa pia imebeba nyimbo zingine kama vile Namngojea Mke Mwema, Yesu Yupo, Sisi Sote na nyingine nyingi zilizopo kwenye albam hiyo ambayo mpaka sasa bado ipo sokoni na ikiwa sehemu ya kuwakumbuka waimbaji wetu wa Injili kwa kazi nzuri waliyoifanya kwa kipindi cha nyuma mpaka sasa. Karibu!!

DOWNLOAD

Like Page yetu ya facebook >>>> GOSPOMEDIA instagram: @gospomedia

Advertisements
Previous post

MUSIC VIDEO: EMMANUEL MGOGO FEAT AMBWENE MWASONGWE - NIMEMWONA

Next post

MWIMBAJI GOODLUCK GOZBERT KUZINDUA ALBUM YA IPO SIKU C.C.C UPANGA TAREHE 17.07.2016