Videos

Music Video | Audio: Bony Mwaitege – Amezaliwa

Kutoka kwa mtumishi wa Mungu(Mchungaji) na muimbaji mkongwe katika kiwanda cha muziki wa Injili Tanzania anayefahamika kwa jina la Bony Mwaitege ambaye baada ya kimya cha muda mrefu leo tunaitambulisha kwako video yake mpya na ya kipekee iitwayo Amezaliwa ikiwa ni zawadi maalum kwa ajili ya watu wa Mungu katika msimu huu wa Krismasi na mwaka mpya.

Video ya wimbo huu imeongozwa na Director Mareys na wimbo ukiwa umetayaarishwa na prodyuza Kazz B. Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kutazama video na kupakua wimbo huu ambao ni hakika utabarikiwa kila wakati.

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya huduma wasiliana na Mchungaji Bony Mwaitege kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 753 582739
Facebook: Bonny Mwaitege
Email: boniphacemwaitege@gmail.com

Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

Lads

Lads

Naitwa Ladslaus Milanzi, mwanzilishi na msimamizi wa tovuti hii ya habari za kikristo, nyimbo na video za muziki wa Injili, Asante kwa kutembelea tovuti hii nikiamini kuwa umebarikiwa na kufurahia na vyote ambavyo umevipata kupitia tovuti hii ikiwa ni moja ya chombo kilichobeba kusudi la kuieneza Injili na kuihudumia jamii kupitia habari na burudani. Mungu Ibariki Gospo Media, Mungu Ibariki Tanzania.
Wasiliana nami kupitia simu/whatsApp: +255 755 038 159.

Previous post

Music Audio: B Zablon - Vumilia

Next post

Music Video | Audio: Weezdom Feat. Janet Otieno - Amka Ucheze