Connect with us

Video: Bonny Mwaitege – Tuko Sawa

Bonny Mwaitege - Tuko Sawa

Muziki

Video: Bonny Mwaitege – Tuko Sawa

Bonny Mwaitege - Tuko Sawa

Baada ya kimya kidogo toka alipoachia video ya wimbo wake uitwao Amezaliwa mwezi disemba 2018 kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 mwimbaji mkongwe maarufu kama Bonny Mwaitege ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Tuko Sawa.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Bonny Mwaitege kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 753 582739
Facebook: Bonny Mwaitege
Instagram: @bonymwaitegeofficial
Youtube: Bonymwaitege Official

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top