Uncategorized

Bomby Johnson:Mwenye nia ya Kuabudu atambue……

Unajua nini kuhusu kuabudu?Leo Staa wa Muziki wa Gospo hususani za kuabudu,bomby Johnson ameandika mambo yafuatayo,ambayo pengine hukuwai kuyafikiria kuhusu kuabudu..twende pamoja
“‪#‎Mwenye_nia_hii_ya_Kuabudu_atambue‬
‪#‎Kuabudu‬ ni mahusiano ya kila siku na Mungu.
#Kuabudu wala si tukio, ratiba au kipindi.
#Kuabudu si wimbo wa miondoko ya taratibu.
‪#‎Kuna‬ utofauti kati ya Kuabudu na kuabudisha. (Yah:viongozi wa sifa).
#Kuabudu hakuna uzoefu. Wala ukubwa na udogo.
KUABUDU NI MAISHA YA KILA SIKU
KUABUDU NI UKARIBU WAKO NA MUNGU.
Tafuta kumjua Mungu. Na kumcha Yeye!!!”
By BOMBY JOHNSON
bomby todaay

Advertisements
Previous post

Newz: Maajabu: Tazama picha ya Mvua ya Samaki iliyonyesha nchini Thailand.

Next post

EVENT: Sunday Celebration,19th April '015 At Victoria Service station.