Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Video | Audio: Boaz Danken – Haufananishwi

Audio

Video | Audio: Boaz Danken – Haufananishwi

Kutoka jijini Dar es salaam kwa mara ya kwanza tunaitambulisha kwako video iitwayo Haufananishwi kutoka kwa mtumishi wa Mungu anayefahamika kwa jina la Boaz Danken.

“Haufananishwi ni wimbo wa ibada unaomzungumzia Mungu asiyefanana na chochote, Mungu anaweza kufanya mambo ambayo mtu hawezi kufanya Yeye hutoa faraja ambayo mtu hawezi kutoa, Karibu tumwabudu Mungu pamoja kupitia wimbo huu nikiamini kuwa Mungu atabadilisha maisha yako kila wakati utakapokuwa unasikiliza na kutazama video ya wimbo huu, Barikiwa!” – alisema Boaz Danken

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema na hakika utabarikiwa, Amen.

Kwa watumiaji wa tovuti bonyeza hapa chini:

[easy_media_download url=”https://gospomedia.com/wp-content/uploads/2018/12/Boaz-Danken-Haufananishwi.mp3″ text=”Download Audio” force_dl=”1″]

Kwa watumiaji wa App bonyeza hapa chini:
Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mtumishi wa Mungu Boaz Danken kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 753 173 325
Facebook: Boaz Danken
Instagram: @boazdanken
Youtube: BOAZ DANKEN

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 10 ON GOSPOMEDIA

SUBSCRIBE

Enter your email address to subscribe to this blog and receive notifications of new posts by email.

Join 12,309 other subscribers

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top