Audio

Audio: BLW Allstars – When We Pray

Kutoka nchini Nigeria leo tumekusogezea wimbo mzuri wa Ibada uitwao When We Pray kutoka kwa kundi la waimbaji wa nyimbo za Injili maarufu kama BLW Allstars, Muziki huu umetayaarishwa na kurekodiwa chini mikono ya prodyuza A4 Jeazy.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu ambao ni imani yetu kuwa utakubariki na kukugusa kwa namna ya pekee, Amen.

Kwa watumiaji wa tovuti bonyeza hapa chini:

Download Audio

Kwa watumiaji wa App bonyeza hapa chini:
Download Audio

Advertisements
Previous post

Audio: Ipha – Spirit Of Truth

Next post

Video | Audio: Amaray - Absolutely