Audio: Blessing Oro – He Answer Me - Gospo Media
Connect with us

Audio: Blessing Oro – He Answer Me

Audio

Audio: Blessing Oro – He Answer Me

Blessing Obas Orobosa maarufu kama Blessing Oro kutoka jiji la Edo State nchini Nigeria ameachia wimbo wake mpya uitwao He Answer Me, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Hitmakers.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu ambao ni hakika utakubariki, Amen.

Kwa watumiaji wa tovuti bonyeza hapa chini:

Download Audio

Kwa watumiaji wa App bonyeza hapa chini:
Download Audio

Social Media
Facebook: Blessing Obas Oromillion
Instagram: @blessingominister
Twittter: @blessingominister

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top