Mafundisho

BISHOP DANSTAN MABOYA ATOA UJUMBE MZITO KWENYE SEMINA YA CROSSOVER

Katika dunia hii kuna watu Mungu amewapa neema ya kuhubiri Injili na kuwagusa watu katika mtazamo halisi na mojawapo watu hao ni pamoja na Bishop Danstan Maboya ambaye Siku ya Jumanne 27.06.2016 katika semina ya Mid Crossover iliyofanyika katika kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni “B” chini ya Mchungaji Dr.Getrude Rwakatale alitoa maneno ya kuinua imani za watu waliofika siku hiyo. kwa hisani ya Ruma Africa Tv gospomedia tunakupa nafasi ya kuitazama video hii fupi yenye maneno yenye baraka sana juu yako wewe mwana wa Mungu. Barikiwa sana!!

Like Page yetu ya facebook >>>> GOSPOMEDIA instagram: @gospomedia

Advertisements
Previous post

MUSIC VIDEO: ROSE JEFA-MOTO WA JANA

Next post

MPIGIE KURA GOODLUCK GOZBERT AWEZE KUSHINDA TUZO YA AFRICAN ENTERTAINMENT AWARDS USA.