Video | Audio: Benachi - Nikumbuke - Gospo Media
Connect with us

Video | Audio: Benachi – Nikumbuke

Video

Video | Audio: Benachi – Nikumbuke

Baada ya kuachia video ya wimbo wake uitwao “Tiba Yangu” Januari 2018 na kufanikiwa kugusa watu kwa namna ya kipekee, Kwa mara nyingine tena moja ya mwimbaji anayefanya vizuri katika kiwanda cha muziki wa Injili nchini Kenya maarufu kwa jina la Benachi ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao “Nikumbuke”, Video ikiwa imeongozwa na director Dambiz kutoka studio za Cloud Montage na muziki ukiwa umetayaarishwa na mikono ya prodyuza Vick Pon Dis na kurekodiwa ndani ya studio za Simba Sound Production zilizopo nchini Kenya.

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kutazama video hii na kupakua wimbo huu ambao nina imani kuwa utakubariki na kukuinua, Ameen.

Download Audio

Socia Media
Facebook: Benachi Mwanake
Instagram: @benachi_mwanake
YouTube: Benachi Kenya

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

To Top