AudioVideo

Video | Audio: Ben William – Emmanuel

Baada ya kutoka na video ya wimbo uitwao Nakupenda aliyoiachia mwezi Agosti 2018 kwa mara nyingine tena mwimbaji Ben William kutoka jijini Mwanza ametusogezea tena video yake nyingine mpya iitwayo Emmanuel ikiwa ni wimbo wa sifa.

Video hii imeongozwa na director Einxer na muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Apex Music.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema tukiamini kuwa itakbariki na kukugusa kila wakati utakapokuwa unaitazama na kusikiliza, Amen.

Kwa watumiaji wa tovuti bonyeza hapa chini:

Download Audio

Kwa watumiaji wa App bonyeza hapa chini:
Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Ben William kupitia:
Simu namba/WhatsApp: +255 719 813 124
Facebook: Benny William
Instagram: @bennywilliam_Official
Youtube: Ben William

Advertisements
Previous post

Video | Audio: Laydee Ruth – Restore

Next post

Video | Audio: Masanja Mkandamizaji - Kemea Pepo