Video

Video | Audio: Beejay Sax – Mighty God

Mpigaji mahiri wa Saxophone nchini nigeria Bolaji Banjoko maarufu kwa jina la Beejay Sax ameachia video yake mpya na ya kipekee iitwayo ”Mighty God”(Mungu Mwenye Nguvu) ikiwa ni wimbo pekee unaopatikana kwenye album yake aliyoiachia hivi karibuni iitwayo ”Awesome God”, muziki huu umetayaarishwa na prodyuza mahiri nchini humo anayefahamika kwa jina la  Wole Oni.

Video hii imeongozwa na kampuni ya Lextenfilmtv, ikishirikiana na Cameo Appearances of, Akin Lewis na Rachael Oniga ambao wote ni waongozaji mahiri wa video nchini humo.

Nina hakika utabarikiwa na muziki huu ambao umebuniwa kwa namna ya kipekee katika kumsifu Mungu, kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kutazama video hii nzuri na kupakua wimbo huu. Barikiwa!

Download Audio

Wasiliana Beejay Sax kupitia:
Instagram: @beejaysaxb

Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

Advertisements
Previous post

Audio: UcheGod - Inner Court

Next post

Audio: Stanflux - My Body