Music

Audio Music: Becky Larry Izamoje – In Awe of You

Kutoka nchini nigeria leo nimekuletea wimbo mzuri wa kuabudu uitwao ”In Awe of You” kutoka kwa mwimbaji mahiri na mwenye sauti ya kipekee sana anayefahamika kwa jina la Becky Larry Izamoje, wimbo huu umetayaarishwa na mikono ya prodyuza Willz.

”In Awe of You”(Kuwa Karibu Nawe) ni wimbo wa ibada unaotukuza utukufu na uzuri wa Mungu kwa kiwango cha juu. Sauti ya mtumishi huyu na mpangilio mzuri wa vyombo vya muziki huu ni hakika utakufanya kuusikiliza kwa makini wimbo huu na kukuweka katika hali ya kumtafakari Mungu katika kiwango cha juu kabisa cha Imani yako.

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu mzuri wa kuabudu ambao ni hakika utafanyika baraka katika maisha yako siku ya leo. Karibu!!

 

Download Audio

Social Media
Facebook: Becky Larry Izamoje
Instagram: @_blarry
Twitter: @_blarry

Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

Lads

Lads

Naitwa Ladslaus Milanzi, mwanzilishi na msimamizi wa tovuti hii ya habari za kikristo, nyimbo na video za muziki wa Injili, Asante kwa kutembelea tovuti hii nikiamini kuwa umebarikiwa na kufurahia na vyote ambavyo umevipata kupitia tovuti hii ikiwa ni moja ya chombo kilichobeba kusudi la kuieneza Injili na kuihudumia jamii kupitia habari na burudani. Mungu Ibariki Gospo Media, Mungu Ibariki Tanzania.
Wasiliana nami kupitia simu/whatsApp: +255 755 038 159.

Previous post

Music Audio: Trusly Feat Karen - Stay With Me

Next post

Music Video | Audio: Elvis Kiwanga - I Believe