Connect with us

Audio: Beatrice Daniel – Sema Nami

Audio

Audio: Beatrice Daniel – Sema Nami

Baada ya kuachia albamu yake mpya mwezi April 2018 inayobebwa kwa jina la Nataka Nitoke mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka jijini Dar es salaam Beatrice Daniel ameachia wimbo wake mpya kutoka kwenye albamu hiyo uitwao Sema Nami, Muziki huu umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Tinie Cousin.

Nataka Mungu aseme namimi maana maneno ya wanadamu yamekua mwiba yanaumiza but NENO la Mungu ni uponyaji kwangu, Mungu aseme na watu wa rika zote na jinsia zote maana wana uhitaji wakuponya majeraha yao, Neno la Mungu ni Uponyaji na Halichoshi.  “Heri mtu yule ambaye hana mashaka nami!” – Luka 7:23

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kusikiliza wimbo huu ambao ni imani yetu kuwa utabarikiwa!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na mwimbaji Beatrice Daniel kupitia
Simu/WhatsApp: +255 714 919 598, +255 769 344 293
Facebook: Beatrice Daniel
Instagram: @beatrice_daniel
YouTube: Beatrice Daniel

Like us on facebook >> GOSPO MEDIA  Follow us on instagram >> @gospomedia

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top