Advertisements
Connect with us

Audio: Baraka Mwampamba – Ingilia Kati Yesu

Audio

Audio: Baraka Mwampamba – Ingilia Kati Yesu

Kutoka jijini Dar es salaam kwa mara ya nyingine tunamtambulisha kwako mwimbaji mpya katika huduma ya muziki wa Injili Tanzania anayefahamika kwa jina la Baraka Mwampamba maarufu kama Mr. BM ambaye kwasasa ameachia nyimbo zake mbili mpya moja kati ya hizo ni hii hapa inayobebwa kwa jina la Ingilia Kati Yesu, Muziki huu umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za MR. BM Records.

“Namshukuru Mungu sana kwa hatua hii, Wimbo wa INGILIA KATI YESU ulinijia nikiwa nimelala na Mungu akaniambia wimbo huu utabadilisha maisha ya watu wengi ulimwenguni. – alisema Mr. BM

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu ambao ni hakika kuwa utagusa na kukubariki kwa namna ya kipekee, Ameen.

Kwa watumiaji wa tovuti bonyeza hapa chini:

[easy_media_download url=”https://gospomedia.com/wp-content/uploads/2018/11/Baraka-Mwampamba-Ingilia-Kati-Yesu.mp3″ text=”Download Audio” force_dl=”1″]

Kwa watumiaji wa App bonyeza hapa chini:
Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Baraka Mwampamba kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 712 348 701
Facebook: Baraka Mwampamba
Instagram: @baraka_mwampamba

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP TRENDING

Shad B - Mbalii

Audio

Audio: Shad-B – Mbalii

By April 24, 2019

SUBSCRIBE

Enter your email address to subscribe to this blog and receive notifications of new posts by email.

Join 12,283 other subscribers

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kila siku kutoka ndani na nje ya Afrika.

To Top