Video

Video | Audio: Baraka Henry – Nitaimba

Baada ya kimya cha muda wa takribani mwaka mmoja kwa mara ya kwanza katika mwaka 2018 mwimbaji wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Baraka Henry, video hii imeongozwa na director Sindano kutoka studio za Tai Studio unaitwa Nitaimba ukiwa umetengenezwa  na producer Xhyzone kutoka studio za Upzone Records.

Nitaimba ni moja ya wimbo unaopatikana kwenye album yake ya kwanza inayobeba jina la “Wape Salamu” na wimbo huu unazungumzia jinsi Mungu anavyoweza kubadilisha maisha ya mtu mwovu na kuwa mtakatifu, katika maisha ya leo kuna mambo mengi tunapitia ambayo mengi kati hayo yanasababisha kututenga mbali na uso wa Mungu lakini kwa upendo wake anaturudisha katika ufalme wake kwa namna ya kipekee.

Ni hakika utabarikiwa na kuinuliwa kwa kuitazama video hii ambayo imejaa visa na matukio ya ushuhuda ambayo yawezekana wewe au mtu mwingine amepitia, hivyo ni wakati sasa wa kuutafakari utukufu wa Bwana, na hakika yeye ni Mungu wa pekee.

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Baraka Henry kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 783 307 892
Facebook: Baraka Henry
Instagram: @barakahenry
Youtube: Baraka Henry

Like us on facebook >> GOSPO MEDIA  Follow us on instagram >> @gospomedia

Advertisements
Previous post

Video | Audio: Rafiki Gospel Singers - Milele

Next post

Video | Audio: Preye Odede - Oshimiriatata