Audio: Baisa Mhela - Just - Gospo Media
Connect with us

Audio: Baisa Mhela – Just

Audio

Audio: Baisa Mhela – Just

Kutoka jijini Dar es salaam leo kwa mara ya kwanza nimekusogezea wimbo mzuri uitwao “Just” kutoka kwa mwimbaji mpya katika kiwanda cha muziki wa Injili anayefahamika kwa jina la Baisa Mhela, Muziki huu umetayaarishwa ndani ya studio za Pure Records chini ya mikono ya prodyuza Dizi Mchizi kutoka mkoani Morogoro.

“Wimbo huu unaelezea njia tunazopaswa kuzifanya baada ya kuokoka ambazo ni Kutenda mambo makuu yote tuliyoagizwa, Kuhubiri, Kuokoa, Kutoa mapepo na mengineyo kwa mamlaka ya Bwana wetu Yesu Kristo, Nataka nikukumbushe tu kuwa leo ni siku njema na nimejua ya kwamba kuokoka ni jambo moja na kwenda mbinguni ni jambo lingine usibweteke kukaa tu kusubiri ujio wa YESU tunapaswa kuifanya kazi yake mpaka mwisho” – Alisema Baisa.

Ni imani yangu kuwa utabarikiwa na kuinuliwa kupitia kazi hii na Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu ambao nina imani kuwa utaweka neno jipya ndani ya nafsi yako, Ameen.

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Baisa Mhela kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 652 155 399
Facebook: Baisa Mhela
Instagram: @baisamhela
Twittter: @baisamhela
Youtube: Baisa Mhela

Like us on facebook >> GOSPO MEDIA  Follow us on instagram >> @gospomedia

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top