Audio

Audio: Ayo Vincent – Supernatural

Baada ya kufanya vizuri kupitia wimbo wake mzuri uitwao “Your Presence Is Here” aliouachia mwezi Januari 2018, Kwa mara nyingine tena mwimbaji mahiri Ayo Vincent akitokea nchini Nigeria ameachia wimbo wake mpya mwezi huu wa April uitwao “Supernatural” ukiwa ni wimbo mzuri wa kuabudu uliotayaarishwa na prodyuza anayefahamika kwa jina la SpiritualBeatz.

Nina imani kuwa utabarikiwa na kuinuliwa kupitia wimbo huu, Karibu kusikilia na kupakua. Ameen!!

 

Download Audio

Social Media
Facebook: Ayo Vincent
Instagram: @ayovincentmusic

Like us on facebook >> GOSPO MEDIA  Follow us on instagram >> @gospomedia

Advertisements
Previous post

Somo: Namna ya Kushughulikia Roho ya kukataliwa.

Next post

Audio: Jubylee – I Have A Miracle