Connect with us

Audio: Sir Judah – JO

Sir Judah - JO

Muziki

Audio: Sir Judah – JO

Sir Judah - JO

Anaitwa Oluwafemi Ashaye maarufu kama “Sir Judah” mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka nchini Nigeria na huu ni wimbo wake wa Sifa unaoitwa JO.

“The main goal of my music is to Heal the Mind, And Lift the Soul” – Sir Judah

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu tukiamini kuwa utabarikiwa, Amen.

 

Social Media Connection:
Instagram: @sirjudah_official
Twitter: @SirjudahO

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top