Connect with us

Audio Music: Shadrack Robert – Nikuimbie

Muziki

Audio Music: Shadrack Robert – Nikuimbie

Kwa mara nyingie tena kwenye kiwanda cha muziki wa Injili nchini Tanzania leo nimekusogezea wimbo uitwao Nikuimbie kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka jijini Arusha anayefahamika kwa jina la Shadrack Robert, muziki huu umetaayarishwa ndani ya studio za Fnouk chini ya mikono ya prodyuza Samtimber.

”Mungu yuko karibu sana kuliko hata nguo tunazo vaa, kila wakati tujifunze Kumuimbia wimbo Mpya wa Kumsifu na kumwabudu kwa kuwa yeye ni mfalme. #Nikuimbie” – Shadrack Robert

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu ambao ni hakika utakubariki na kuifanya siku yako ya leo kuwa njema. Karibu!!

 

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na mwimbaji Shadrack Robert kupitia
Simu/WhatsApp: +255 767 897 260
Facebook: Shadrack Robert
Instagram: @shadrackrobert
Twitter: @shadrackrobert2
YouTube: Shadrack Robert
Email: thisisshadrack@gmail.com

Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

NAWAPENDA - ZABRON SINGERS

Muziki

VIDEO | NAWAPENDA – ZABRON SINGERS

By October 11, 2021

TRENDING

To Top