Connect with us

Audio Music: Kenny Polz – Anafanya

Muziki

Audio Music: Kenny Polz – Anafanya

Bwana Yesu Asifiwe mwana wa Mungu! leo kutoka jijini Dar es salaam leo nimekuwekea wimbo uitwao Anafanya kutoka kwa mwimbaji mpya wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Kenny Polz, wimbo ukiwa umetayaarishwa na prodyuza maarufu nchini Tanzania anayefahamika kwa jina la KGT Shadeed kutoka studio za G Records.

Kenny Polz ni moja kati ya waimbaji wapya katika kiwanda cha muziki wa Injili nchini Tanzania akiwa amebeba kusudi la kuwarudisha vijana kwa Yesu Kristo kupitia muziki wa Injili kwa mtindo wa kisasa na huu ni wimbo wake wa kwanza kwa mwaka huu 2017.

”NAJUA NI KWELI unapitia changamoto ambazo hujui ufanye nini kujiokoa na hata msaada haupo tena …lakini nataka nikuhakikishie MUNGU bado ANAFANYA…ninachokuomba MWAMINI tu naye Atafanya.”

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu ambao ni hakika utakupa nguvu mpya ya mwanga wa Matumaini ndani ya moyo wako katika yale unayoyapitia. Karibu ubarikiwe na uinuliwe!!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya huduma wasiliana na mwimbaji Kenny Polz kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 672 855 256
Facebook: Kenny Polz
Instagram: @kennypolz

Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

GUARDIAN ANGEL - NI TABIBU_audio

Muziki

AUDIO | GUARDIAN ANGEL – NI TABIBU

By September 22, 2021

TRENDING

To Top