Connect with us

Audio Music: Jordan Ngassa – Umeinuliwa

Muziki

Audio Music: Jordan Ngassa – Umeinuliwa

Kutoka jijini Dar es salaam, leo nimekuwekea wimbo mzuri uitwao Umeinuliwa kutoka kwa mwimbaji mpya wa nyimbo za Injili Tanzania anayefahamika kwa jina la Jordan Ngassa, wimbo ukiwa umefanyika ndani ya studio za Pax Studio.

Huu ni wimbo mzuri wa sifa unaomtukuza Mungu na kutukumbusha neno juu nguvu ya Bwana wetu Yesu Kristo katika maisha yetu na kwamba hakuna kilicho juu zaidi yake kwakuwa yeye ameinuliwa juu ya vitu vyote na mataifa yote kupitia damu iliyomwagika msalabani na kutufanya sisi kuwa viumbe wapya.

”Bwana ndiye mchungaji wangu hakika sita pungukiwa na kitu kando ya majani mabichi uni laza Bwana, maana Bwana yupo juu ya vyote yupo juu mbinguni kwenye kiti cha enzi Bwana umeinuliwa juu we Bwana umeinuliwa juu yamataifa yote” – Jordan Ngassa

 

Download Audio

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu ambao ni hakika utakubariki sana. Karibu!!

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko wasiliana na mwimbaji Jordan Ngassa kupitia:-
Simu/WhatsApp: +255 657 011 281
Facebook: Jordan Ngassa
Instagram: @jordanngassa
Youtube: Jordan Ngassa

Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

NAWAPENDA - ZABRON SINGERS

Muziki

VIDEO | NAWAPENDA – ZABRON SINGERS

By October 11, 2021

TRENDING

To Top