Music

Audio Music: Jive Angels Feat Buchi – God is Good

Kutoka nchini Nigeria leo nimekuwekea wimbo uitwao God is Good kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Jive Angels akiwa amemshirikisha mwimbaji mahiri wa nyimbo za Injili kutoka nchini humo anayefahamika kwa jina la Buchi, wimbo ukiwa umetayaarishwa ndani ya studio za Ace chini ya mikono ya prodyuza Kelly Lyon.

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu ambao ni hakika utakwenda kukupa nguvu ya kumtukuza Mungu kila siku. Karibu ubarikiwe!!

Download Audio

Social Media:
Facebook: Jive Angels
Instagram: @jiveangels
Twitter: @jiveangels

Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

Lads

Lads

Mimi ni Ladslaus Milanzi mwanzilishi na muasisi wa mtandao bora wa habari za kikristo, maarifa na burudani za muziki wa Injili kutoka ndani na nje ya Tanzania. Naamini nimebeba kusudi la kumtumikia Mungu na jamii kupitia chombo hiki ambacho kwa hakika kinazidi kuwa baraka kwa waimbaji, wachungaji, watu binafsi, makanisa na taasisi mbalimbali ambazo zimekuwa zikitumia chombo hiki kupata taarifa, kujifunza na kujitangaza. Mungu Ibariki Gospo Media, Mungu Ibariki Tanzania.
Wasiliana nami kupitia simu/whatsApp: +255 755 038 159.

Previous post

Tazama Video | Download Audio: Bienvenu Wanzire - Kilichoandikwa

Next post

Music Video | Download Music Audio: Noah Sinene - Pokea