Connect with us

Audio Music: Ivan Mosha – Siku Hazigandi

Muziki

Audio Music: Ivan Mosha – Siku Hazigandi

Shalom mwana wa Mungu!! kwa utukufu wa Mungu leo tena nimekuwekea wimbo uitwao ”Siku Hazigandi” kutoka kwa mwimbaji mpya wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Ivan Mosha kutoka jijini Dar es salaam, wimbo huu umetayaarishwa na mikono ya prodyuza Kingson Touchz kutoka studio za Ritha’s Records.

Akiongea na gospomedia.com mwimbaji Ivan Mosha alikuwa na haya ya kusema;

”Siku Hazigandi ni wimbo unaomtia MTU moyo asikate tamaa hata ukipita kwenye dhoruba kali chombo hakitazama Yesu Kristo yupo na wewe na hakika siku zinasonga na zitaendelea kusonga kwakuwa Mungu yupo na wewe.” – Alimaliza Ivan Mosha.

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu ambao kwa hakika utakubariki sana. Karibu ubarikiwe katika viwango vingine!!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na mwimbaji Ivan Mosha Kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 621 831 270, +255 657 683 018
Facebook: Ivan Mosha
Instagram: @ivanmosha Youtube: Ivan Mosha

Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

NAWAPENDA - ZABRON SINGERS

Muziki

VIDEO | NAWAPENDA – ZABRON SINGERS

By October 11, 2021

TRENDING

To Top