Advertisements
Connect with us

Audio Music: Gabby Z. Mina – Yesu Nitawale

Audio

Audio Music: Gabby Z. Mina – Yesu Nitawale

Kutoka mjini musoma, mwimbaji mpya wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Gabby Mina ametuletea wimbo wake mpya uitwao Yesu Nitawale, muziki ukiwa umeandaliwa ndani ya studio za Muba, chini ya mikono ya prodyuza Muba.

Akiongea na gospomedia.com mwimbaji Gabby Z. Mina alikuwa na haya ya kusema ”Yaa! wimbo wa Yesu Nitawale ni wimbo ambao unahitaji Yesu apate kukutawala katika katika hali yoyote ya maisha yako, pia kwa yale magumu uliyopitia na yale mambo mabaya uliyo mtendea Mungu kwa muda mrefu, lakini sasa nafsi imekuwa inakusuta na kwenda kutubu na kumhitaji mungu apate kuwa pamoja na wewe.”

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu naamini ubarikiwa!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya huduma wasiliana na mwimbaji Gabby Z. Mina kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 769 346 958, +255 757 141 754
Facebook: Gabby Zakaria
Youtube: Gabby Zakaria
Twitter: @gabby
Email: gabbyzakaria@googlemail.com

Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

Advertisements

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP TRENDING

Shad B - Mbalii

Audio

Audio: Shad-B – Mbalii

By April 24, 2019

SUBSCRIBE

Enter your email address to subscribe to this blog and receive notifications of new posts by email.

Join 12,282 other subscribers

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kila siku kutoka ndani na nje ya Afrika.

To Top