Connect with us

Audio Music: Emmykokz & Dunnie – Fall My Hand

Muziki

Audio Music: Emmykokz & Dunnie – Fall My Hand

Mwimbaji kutoka nchini nigeria Emmykokz na Dunnie wamungana kwa pamoja na kuachia wimbo huu uitwao ”Fall My Hand” unaozungumzia Upendo wa Mungu ambao haufanishwi na kitu chochote.

Je, umeelemewa? Je! umechanganyikiwa? Je! unauhitaji wa jambo au kitu fulani? ”Fall My Hand” ni wimbo wa kusikiliza na kutukumbusha kwamba Mungu kamwe hawezi kushindwa juu ya matatizo yetu.

Wimbo huu unazungumzia upendo halisi wa Mungu, hasa kwa njia ambayo yeye huchagua kutupenda. Hajawahi kutuvunja moyo wala kutuangusha. Ametuahidi kwa maneno yake, akituchukua kutoka chini hadi juu.

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu ambao ni hakika utakubariki sana.

Download Audio

Social Media
Twitter | Instagram: @emmykokz | @officialdunnie

Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

Continue Reading
Advertisement
You may also like...
Advertisement

TRENDING

To Top