Audio

Audio Music: Emem Washington Feat. Morayo – Rebirth

Mwimbaji wa nyimbo za Injili nchini Marekani mwenye asili ya Nigeria Emem Washington ameachia wimbo wake mpya uitwao ”Rebirth” akiwa amemshirikisha mwimbaji mahiri anayefahamika kwa jina la Morayo na muziki ukiwa katika mtindo wa Techno / House Music..

Wimbo huu unazungumzia Urejesho na mtu kuzaliwa upya kutoka katika ondoleo la dhambi.

Rebirth (“Kuzaliwa upya”) ni wimbo unaobeba kichwa cha albamu yake mpya, ukieleza jinsi unavyoweza kushughulikia uamsho wa roho lakini kupata ufahamu wa kumjua Mungu katika kila nyanja za maisha yetu, Hata katika hali isiyowezekana.

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu ambao ni hakika utakubariki sana.

 

Download Audio

Emem Washington Social Media:
Facebook: Emem Washington
Instagram: @ememwashington
Twitter: @ememwashington

Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

 

Advertisements
Previous post

Audio Music: Kenny Rich - Njaa Kali

Next post

Audio Music: Bahati Simwiche Feat Beatrice Kitauli - Nyota