Audio Music: Cris Kester - Good Mood - Gospo Media
Connect with us

Audio Music: Cris Kester – Good Mood

Audio

Audio Music: Cris Kester – Good Mood

Bwana Yesu asifiwe mwana wa Mungu! leo kutoka nchini nigeria rapa wa nyimbo za Injili Cris Kester amekuja na wimbo wake mpya wa shukrani na faraja uitwao “Good Mood”,  wimbo huu umetayaarishwa na prodyuza Steve Rawd na Rocks Kings.

Kupitia wimbo huu rapa Cris Kester anatuambia kwamba bila kujali hali au changamoto tunazopitia, chagua kuwa na maisha yenye kuwa na hisia nzuri kila siku, kwa kuwa Mungu alitupa sisi wote. Kwa hivyo tunapaswa kuishi maisha yampendezayo na kumtegemea Mungu bila kujali upo katika hali gani katika maisha yako jifunze kufurahia maisha!!

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu ambao ni hakika utakubariki.! Karibu ubarikiwe!!

Download Audio

Social Media
Facebook: Cris Kester Owan Instagram: @cris_kester Twitter: @cris_kester

Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

More in Audio

To Top