Connect with us

AUDIO | Miriam Jackson ft. Joshua Mlelwa – Nisaidie

Muziki

AUDIO | Miriam Jackson ft. Joshua Mlelwa – Nisaidie

Kutoka jijini Dar es salaam leo nimekuletea wimbo wenye ujumbe wa matumaini uitwao Nisaidie kutoka kwa muimbaji Miriam Jackson akiwa na muimbaji mahiri na mkongwe anayefahamika kwa jina la Joshua Mlelwa.

Akizungumzia kuhusu wimbo huu mwimbaji Miriam Jackson alikuwa na ujumbe huu:-

”Unajua katika hii nchi yetu au dunia hii watu wengi wanadhani shida, masimango, visa na hata maneno yatadumu pasipo kujua yatakoma. Naomba ni kushuhudie jambo moja… Leo wanavyokutazama tena na kusema kikowapi 2017 mbona aolewi, mbona afanikiwi, mbona sijui hivi na vile… Yani wanaongea mpaka inafika mahali hutaki kuwa na rafiki kwamaana unadhani matatizo, dhiki ulizaliwa nazo. Leo kupitia wimbo huu nakutangazia matataizo yako yatakoma.”

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu ambao ni hakika utakubariki na kukuinua.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya huduma wasiliana na Miriam Jackson kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 784 323 036
Facebook: Miriam Jackson
Instagram: @miriamjackson_tz

Continue Reading
Advertisement
You may also like...
Advertisement

TRENDING

Jiunge Nasi

Jiunge na blog ya gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea updates za kiinjili kila siku kupitia barua pepe yako.

Join 16,107 other subscribers

To Top